Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya
Zantel, Benoit Janin (katikati),
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki,
wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma ya mtandao wa 4G ambapo sasa miji yote nchini itafikiwa na
huduma hiyo. Kushoto ni Meneja
Uendeshaji Mtandao, Ahmed Hassan Abdallah na Meneja Mauzo, Herbet Louis.
Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel,
Hebert Louis (kulia), akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati wa uzinduzi
rasmi wa huduma ya mtandao wa 4G ambapo
sasa miji yote nchini itafikiwa na huduma hiyo.
Kushoto ni Meneja Uendeshaji Mtandao, Ahmed Hassan Abdallah na Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Zantel, Benoit Janin
Meneja Uendeshaji Mtandao wa kampuni ya simu za mkononi ya
Zantel, Ahmed Hassan Abdallah (wa pili kushoto), akiwaonyesha waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, jinsi ya kurekebisha simu
na kuwa katika mpangilio wa automatiki wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma ya mtandao
wa 4G ambapo sasa miji yote nchini
itafikiwa na huduma hiyo. Kushoto kwake
ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Benoit
Janin na Meneja Mauzo, Herbet Louis.
Baadhi ya waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari walihudhuria uzinduzi huo. (All photos by MPP LTD).
No comments:
Post a Comment