Serious Business: BUSINESS

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Showing posts with label BUSINESS. Show all posts
Showing posts with label BUSINESS. Show all posts

Friday, March 21, 2025

Taasisi za Ulinzi wa Mlaji zimetakiwa kushirikiana na FCC

10 days ago 0

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Suleimani Jafo, amezitaka taasisi zote za serikali zinazohusika na ulinzi wa mlaji kufanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha haki za watumiaji zinalindwa.Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya S...

Read More

Tuesday, March 11, 2025

Absa Group Reports 10% Increase in 2024 Earnings after Material Second-Half Recovery

20 days ago 0

Salient pointsRevenue increased 5% to R109.9 billionOperating costs rose 5% to R58.5 billionCost-to-income ratio unchanged at 53.2%Pre-provision profit increased 5% to R51.4 billionImpairments decreased 8% to R14.3 billionCredit loss ratio improved...

Read More

Saturday, March 1, 2025

Smallholder farmers get support to adopt modern mechanization

month ago 0

By Our ReporterAGRICULTURAL mechanization has the potential to transform Tanzania's agricultural sector, driving increased productivity, reducing labor intensity, and fostering economic growth.Despite its benefits, mechanization remains underdevelo...

Read More

Tuesday, February 25, 2025

Benki ya Absa kuendelea kuunga mkono maendeleo ya wanawake mahali pa kazi

month ago 0

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete (kushoto), akikabidhi cheti Kwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser, kwa kutambua mchango wa benki hiyo kama mdau muhimu ...

Read More

Tuesday, February 18, 2025

Benki ya Absa ya endelea kusambaza upendo wa Siku ya Wapendanao kwa wajasiriamali

month ago 0

Meneja wa Masuala Endelevu na Matukio wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi, akichagua maua, wakati baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo, wakitembelea eneo maarufu la biashara ya maua, Mbuyuni, Namanga jijini Dar es Salaam jana, Ili kuendele...

Read More

Thursday, February 13, 2025

Absa Bank Tanzania Unveils the Absa Group Savings Account – A Unique Solution for Collective Savings

2 months ago 0

Absa Bank Tanzania Director of Retail Banking, Ms. Ndabu Swere (centre), addresses a media conference, during the official launch of the bank's group saving account in Dar es Salaam today. Looking on are, Absa's Citizenship Manager, Ms. Abigail Luk...

Read More

Wednesday, January 22, 2025

Absa Bank Tanzania concludes Spend & Win campaign with great success, third Subaru Forester winner applauds service excellence

2 months ago 0

The final winner of Absa Bank Tanzania's three-month Spend & Win campaign, Ms. Amalia Lui Shio (center), receives the ignition key to a brand-new 2024 Subaru Forester from the bank’s Head of Retail Banking, Ms. Ndabu Lilian Swere, during a ceremony...

Read More

Wednesday, December 18, 2024

Benki ya Absa Tanzania Yakamilisha Kampeni ya Kusisimua ya "Spend & Win" kwa Droo ya Mwisho na Hafla ya Kukabidhi Gari

3 months ago 0

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Ndabu Lilian Swere (kushoto), akihutubia hadhira wakati wa droo ya tatu ya Kampeni ya "Spend and Win" na hafla ya kukabidhi Subaru Forester kwa mshindi wa pili, Bi. Alyshah Bharwani...

Read More

Saturday, December 14, 2024

Benki ya Absa Tanzania Yashinda Tuzo 11 za Heshima Mwaka 2024

4 months ago 0

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kushoto), akizungumza na waandishi wakati akitangaza mafanikio ya benki kwa Mwaka 2024 kupitia Tuzo mbalimbali 11 ilizopata. Pamoja naye ni Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa benki hiyo, ...

Read More

Monday, December 2, 2024

Benki ya Absa Tanzania yang'ara tuzo za Chaguo la Walaji

4 months ago 0

 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Stanslaus Nyongo (wa tatu kushoto) akikabidhi tuzo ya Benki Bora kwa kutoa Huduma Bora rafiki za Mikopo nchini Tanzania kwa Mkurugenzi wa Sheria na Udhibiti wa Sera na Kanuni wa Benki ...

Read More

Saturday, November 30, 2024

Benki ya Absa Tanzania yashinda tuzo ya uandaaji bora wa taarifa za fedha

4 months ago 0

Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Wizara ya Fedha, CPA. Benjamin Mashauri (wa pili kulia), akikabidhi tuzo ya mshindi wa kwanza wa Uwasilishaji Bora wa Taarifa za Fedha katika kitengo cha Mabenki yenye Ukubwa wa Kati kwa Mwaka 2023 zinazotolewa na Bodi ya T...

Read More

...

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *