Tamasha la Uhondo wa
Zantel linalodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel limeendelea
kukonga nyoyo za wakazi wa sehemu mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam mara hii
ikiwa ni zamu ya wakazi wa Kimara na maeneo ya jirani kama inavyoonekana katika
picha hizi hapo juu. ambamo msanii maarufu wa muziki wa
‘singeli’ Rajabu Selemani ‘virusi mdudu’ (kushoto), akikonga nyoyo za wakazi wa
maeneo hayo katika viwanja
vya Rhino, Kimara jijini humo, ikiwa ni moja ya kampeni za kampuni ya
simu za mkononi ya Zantel kuwa karibu na wateja wake ikiwajulisha bidhaa na
huduma zao zilizopo sokoni.
No comments:
Post a Comment