Wednesday, October 26, 2016

Tamasha la Uhondo wa Zantel lazidi kupasua anga
Tamasha la Uhondo wa
Zantel linalodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel limeendelea
kukonga nyoyo za wakazi wa sehemu mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam mara hii
ikiwa ni zamu ya wakazi wa Kimara na maeneo ya jirani kama inavyoonekana katika
picha hizi hapo juu. ambamo msanii maarufu wa muziki wa
‘singeli’ Rajabu Selemani ‘virusi mdudu’ (kushoto), akikonga nyoyo za wakazi wa
maeneo hayo katika viwanja
vya Rhino, Kimara jijini humo, ikiwa ni moja ya kampeni za kampuni ya
simu za mkononi ya Zantel kuwa karibu na wateja wake ikiwajulisha bidhaa na
huduma zao zilizopo sokoni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Airtel Money na TCDC Waingia Ubia Kuboresha Sekta ya Kilimo Kidijitali
Mkurugenzi wa Airtel Money, Bw. Andrew Rugamba (wa pili kushoto), akisaini makubaliano (MoU) na Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maende...

No comments:
Post a Comment