Zantel yanogesha Full Moon Party visiwani Zenji - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Friday, November 18, 2016

Zantel yanogesha Full Moon Party visiwani Zenji

  Wasanii wa kikundi cha sanaa cha  Bagamoyo African Culture wakionyesha uhamiri wao wakati wa sherehe ya Kendwa Rocks Full Moon iliyofanyika mjini Zanzibar hivi karibunii. Full Moon Party hudhaminiwa na Zantel na hujumuisha watanzania na watalii kutoka nchi mbali mbali duniani.
  Wasanii wa kikundi cha sanaa cha  Bagamoyo African Culture wakitumbuiza wakati wa sherehe ya Kendwa Rocks Full Moon iliyofanyika mjini Zanzibar hivi karibunii. Full Moon Party hudhaminiwa na Zantel na hujumuisha watanzania na watalii kutoka nchi mbali mbali duniani.
  Wasanii wa Karafuu Band wakitoa burudani wakati wa sherehe ya Kendwa Rocks Full Moon iliyofanyika mjini Zanzibar hivi karibunii. Full Moon Party hudhaminiwa na Zantel na hujumuisha watanzania na watalii kutoka nchi mbali mbali duniani.
Maofisa mauzo wa Zantel Tanzania wakijiandaa kutoa huduma katika sherehe ya Kendwa Rocks Full Moon inayofanyika kila mwezi wakati wa mbalamwezi kamili mjini  Zanzibar.  
 
 

No comments:

Post a Comment

Airtel Tanzania Yawapa Walimu Mafunzo ya Ujuzi wa Kidijitali Kupitia Mpango wa SmartWASOMI

Mkurugenzi wa Machapisho na Utafiti kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Bw. Kwangu Zabron Masalu (Katikati), akizungumza jijini Dar es S...

Pages