Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa (wa pili kushoto), akikabidhi
kikombe kwa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
David Magese baada ya kampuni hiyo kuibuka
mshindi wa jumla wa Tuzo za Mwajiri
Bora wa mwaka 2016 zinazoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE),
katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, na Mwenyekiti wa ATE, Almas Maige.
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa (wa pili kushoto), akikabidhi
kikombe kwa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Cocacola Kwanza Ltd,
Sigifrid Faustine baada ya kampuni hiyo kuibuka
mshindi wa pili wa Tuzo za Mwajiri
Bora wa mwaka 2016 zinazoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE),
katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama na na Mwenyekiti wa ATE, Almas
Maige
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa (wa pili kushoto), akikabidhi kikombe kwa Makamu
wa Rais wa Kampuni ya Geita Goldmine, Simon Shayo baada ya kampuni hiyo kuibuka mshindi wa tatu wa Tuzo za Mwajiri Bora wa mwaka 2016 zinazoandaliwa na Chama
cha Waajiri Tanzania (ATE), katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam
juzi. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,
Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, na Mwenyekiti wa ATE, Almas
Maige.
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Dk. Aggrey
Mlimuka (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya Tuzo za Mwajiri Bora za Mwaka
2016 jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim
Majaliwa na Mwenyekiti wa ATE, Almas Maige.
No comments:
Post a Comment