Mkuu
wa Mauzo wa Zantel Tanzania, Herbert Louis (kulia), akiwaonyesha baadhi ya
wakazi wa mji wa Tanga kupitia simu ya mkononi jinsi mtandao wa kasi wa 4G wa kampuni hiyo unavyofanya kazi pamoja
na baadhi ya bidhaa, hudumana ofa maalumu
kwa ajili ya mji wa Tanga. Hafla hiyo ikiwa ni moja ya kampeni za masoko
kufikisha huduma na bidhaa zao karibu na wateja ilifanyika katika Viwanja vya
Tangamano mjini humo hivi karibuni.
Ofisa Masoko wa Zantel, Deus Mtena (kulia), akizungumza na baadhi ya wakazi wa mji wa Pongwe nje kidogo ya Jiji la Tanga jana kuhusu huduma, bidhaa na ofa maalumu kwa mji wa Tanga ikiwa ni moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma na bidhaa zao karibu na wateja.
Ofisa Masoko Masoko wa Zantel, Emmiliana Vokolavene (wa pili kulia), akizungumza na baadhi ya wakazi wa mji wa Pongwe nje kidogo ya Jiji la Tanga jana kuhusu huduma, bidhaa wazitoazo na ofa maalumju kwa ajili ya Tanga ikiwa ni moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma na bidhaa zao karibu na wateja
No comments:
Post a Comment