Monday, December 5, 2016

Home
Unlabelled
wahitimu wa vyuo wanufaika na ReadytoWork ya Barclays Bank
wahitimu wa vyuo wanufaika na ReadytoWork ya Barclays Bank
Meneja Masoko wa Benki ya Barclays Tanzania, Joe
Bendera (katikati), akihojiwa na wandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jijini
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati wa mkutano ambapo benki hiyo
iliitambulisha program yake ya ‘ReadtoWork’ yenye lengo la kuwaandaa wahitimu wa vyuo vikuu na elimu ya juu kujiandaa
na ajira au kujiajiri.
Meneja Masoko wa Benki ya Barclays Tanzania, Joe
Bendera (kushoto), akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam (UDSM), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki katika mkutano ambapo
benki hiyo iliitambulisha program yake ya ‘ReadtoWork’ yenye lengo la kuwaandaa
wahitimu wa vyuo vikuu na elimu ya juu kujiandaa
na ajira au kujiajiri.
Meneja Masoko wa Benki ya Barclays Tanzania, Joe
Bendera (kwa pili kulia), akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam (UDSM), wakati akiitambulisha program ya ‘ReadtoWork’ ya benki
hiyo yenye lengo la kuwaandaa wahitimu wa vyuo vikuu na elimu ya juu kujiandaa
na ajira au kujiajiri. Wengine ni baadhi ya washikiri na wawezeshaji katika
mkutano huo ambao pia kituo cha televisheni cha EATV kilikuwa kikitambulisha
tuzo na wasanii wanaowania tuzo hizo zinazotambuliwa na Baraza la Sanaa la
Taifa.
Baadhi ya wanafunzi wa
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakihudhuria mkutano huo. (All photos by MPP LTD).
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Airtel Tanzania Yawapa Walimu Mafunzo ya Ujuzi wa Kidijitali Kupitia Mpango wa SmartWASOMI
Mkurugenzi wa Machapisho na Utafiti kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Bw. Kwangu Zabron Masalu (Katikati), akizungumza jijini Dar es S...

No comments:
Post a Comment