TANZANIA COMMERCIAL BANK PLC YAZINDUA TAWI JIPYA MPWAPWA DODOMA - Business Insights

Mgongopr.blogspot.com is a business centered online platform highlighting trade, finance and economic news in Tanzania. Our coverage is customised to ensure we consolidate brands, boost sales and nurture investments. The site is an imprint of Mgongo Logistics and Solutions, a trusted consultancy firm, offering Social Media Management, Photography, Videography, Advertising, Event Management and Translation. For more information contact us via; Phone: +715765454 email: mgongo@gmail.com

Breaking

Sunday, October 15, 2023

TANZANIA COMMERCIAL BANK PLC YAZINDUA TAWI JIPYA MPWAPWA DODOMA

 

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Bw. Jema Msuya (wa tatu kushoto) akikata keki wakati wa maadhimisho ya wiki ya hudima kwa mteja. Hafla hiyo iliyofanyika katika tawi jipya la benki hiyo lililozinduliwa hivi karibuni Mpwapwa mkoani Dodoma. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa benki hiyo Edmund Mndolwa, Meneja wa Tawi hilo pamoja na wateja.

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Bw. Jema Msuya akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo lililozinduliwa hivi karibuni Mpwapwa mkoani Dodoma ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Kaimu kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Abdallah Shaib.

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Bw. Jema Msuya pamoja na maafisa wengine wa benki hiyo wakifurahia mara baada ya kuzindua tawi jipya la benki hiyo lililozinduliwa hivi karibuni Mpwapwa mkoani Dodoma ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Kaimu kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Abdallah Shaib

No comments:

Post a Comment

Absa Bank Tanzania Showcases Innovative Banking Solutions at Nane Nane 2026

  Minister for Agriculture, Hon. Daniel Chongolo (centre), receives an explanation about various banking services offered by Absa Bank Tanza...

Pages