SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha yao ya baadae.Utaratibu huo umeanza Machi 31 had...
Fashion
Food
Technology
News
Sports
Wednesday, April 2, 2025
SERIKALI YATOA MWEZI MMOJA KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE 2024 KUBADILISHA MACHAGUO YA TAHASUSI ZA KIDATO CHA TANO
Monday, March 31, 2025
Rais Samia ahutubia Baraza la Eid El Fitr Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius...
Sunday, March 30, 2025
MWENYEKITI WA CCM MKOA TANGA ASISITIZA AMANI SHEREHE ZA EID ELFITR
Na Mwandishi Wetu, TangaMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, ndugu Ostadh Rajabu Abdullaman, amesisitiza umuhimu wa kuitunza amani katika taifa letu, huku akitoa wito kwa wananchi kuendelea kudumisha mshikamano na umoja wakati wa ...
Friday, March 28, 2025
AKIBA COMMERCIAL BANK YAPELEKA TABASAMU KWA WATOTO WANAOLELEWA CHAKUWAMA.
Akiba Commercial Bank Plc Yapeleka Tabasamu Kituo cha Kulea Watoto- Chakuwama Sinza Dar es Salaam, 28/03/2025 – Katika kuendelea kujitoa kwa jamii, Akiba Commercial Bank Plc imetoa msaada kituo cha kulea Watoto cha Chakuwama, ikilenga kuboresha us...
TCB BANK YAENDELEA KUIMARISHA UCHUMI WA MTU MMOJA MMOJA
BENKI ya Biashara ya Tanzania ( TCB) imeendelea kuwa mdau wakuimarisha uchumi wa mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla kwa kugusa sekta mbalimbali nchini.Akizungumza leo Machi 28, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa Iftari iliyoandaliwa na benki hiyo...
Friday, March 21, 2025
Taasisi za Ulinzi wa Mlaji zimetakiwa kushirikiana na FCC
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Suleimani Jafo, amezitaka taasisi zote za serikali zinazohusika na ulinzi wa mlaji kufanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha haki za watumiaji zinalindwa.Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya S...
...