KAMPUNI ya Gesi ya Oryx imemtangaza Mama Lishe Zuwena Mohamed maarufu Shilole (Shishifood) kuwa balozi wao katika in kuhamasisha matumizi ya nishati safi kupikia kupitia mitungi ya gesi nchini.
Lengo la Oryx kumpa Ubalozi Shilole unalenga kuunga mkono jitihata za Rais Dk.Samia Suluhu ambaye ameweka malengo kuwa ifikapo mwaka 2032 asilimia 80 ya Watanzania iwe inatuminia nishati safi ya kupikia.
No comments:
Post a Comment