Friday, October 13, 2017
Kampuni ya Aggrey & Clifford yashinda tuzo ya Dhahabu kupitia Vodacom
Mkurugenzi
mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC,Ian Ferrao(katikati) akikabidhiwa na
Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid
Tenga,Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of
Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na tangazo lililotengenezwa
na kampuni hiyo kwa niaba ya Vodacom kuhusiana na kampeni ya kuuza
sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma,Hafla ya makabidhiano hayo
ilifanyika jijini Dar es Salaam,Anaeshuhudia kushoto ni Mkurugenzi wa
Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn
Mworia(kushoto)na Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey &
Clifford,Rashid Tenga,wakimshuhudia Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania
PLC,Ian Ferrao,akiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani) Tuzo ya
kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017
nchini Singapore iliyotokana na tangazo lililotengenezwa na kampuni ya
Aggrey & Clifford kwa niaba ya kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya
kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma,Hafla ya makabidhiano hayo
ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia na
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo,Ian Ferrao,wakimsikiliza kwa makini
Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid
Tenga,alipokuwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa
hafla ya kukabidhi Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia
Festival of Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na tangazo
lililotengenezwa na kampuni ya Aggrey & Clifford kwa niaba ya
Vodacom kuhusiana na kampeni ya kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo
kwa Umma,Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao(katikati)akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na Tuzo ya kimataifa ya
dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore
iliyotokana na tangazo la kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma
lililotengenezwa na kampuni ya Aggrey & Clifford,Hafla ya
makabidhiano hayo ilifanyika jijini Dar es Salaam,Wanaoshuhudia kushoto
ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo,Rosalynn
Mworia na Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid
Tenga.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn
Mworia(kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo
pichani)wakati wa hafla ya kukabidhiwa Tuzo ya kimataifa ya dhahabu
kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore
iliyotokana na tangazo la kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa
Umma,Tangazo hilo lililotengenezwa na kampuni ya Aggrey &
Clifford,Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika jijini Dar es
Salaam,Katikati Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo,Ian Ferrao na Afisa
mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn
Mworia(katikati)akiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani) Tuzo ya
kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017
nchini Singapore iliyotokana na tangazo la kuuza sehemu ya hisa za
kampuni hiyo kwa Umma,Tangazo hilo lililotengenezwa na kampuni ya
Aggrey & Clifford,Hafla ya tuzo hiyo ilifanyika jijini Dar es
Salaam,Kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo,Ian Ferrao na
Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga.
Mkurugenzi
mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao(wanne kushoto)na Afisa mtendaji
mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga(watano
kushoto)wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wao
wakati wa hafla ya kukabidhiwa Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike
Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na
tangazo la kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma,Tangazo hilo
lililotengenezwa na kampuni ya Aggrey & Clifford,Hafla hiyo
ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...
No comments:
Post a Comment