Thursday, November 9, 2017
NBC YASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA SARATANI YA MATITI
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Kibenki cha Taasisi
za Sekta ya Umma, Noelina Kivaria (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji
wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Dk. Julius Mwaiselage wakati wa
matembezi ya hisani kuchangia juhudi za kupambana na saratani ya matiti jijini
Dar es Salaam hivi karibuni. Katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy
Mwalimu. NBC ilikuwa moja kati ya wachangiaji
wakubwa waliofanikisha matembezi hayo.
Baadhi ya wafanyakazi wa
NBC wakiwa na nyuso za furaha wakishiriki matembezi ya hisani kuchangia juhudi za kupambana na taztizo la
ugonjwa wa saratani ya matiti jijini Dar es Salaam hivi karibuni. NBC ilikuwa moja kati ya wachangiaji
wakubwa waliofanikisha matembezi hayo.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma
kwa Wateja cha NBC, Ngwitika Mwakahesya (kushoto), Waziri wa Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto, Ummy Mwalimu (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Saratani ya Ocean Road, Dk. Julius Mwaiselage (wa pili kulia), wakishiriki
matembezi ya hisani kuchangia juhudi za
kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa saratani ya matiti. NBC ilikuwa moja kati
ya wachangiaji wakubwa waliofanikisha matembezi hayo.
Baadhi ya wafanyakazi wa
NBC wakipozi kwa picha ya kumbukumbu kabla ya kuanza kwa matembezi hayo. NBC
ilikuwa moja kati ya wachangiaji wakubwa waliofanikisha matembezi hayo.
Baadhi ya wafanyakazi wa
NBC wakilisikiliza kwa makini hotuba na shuhuda mbalimbali zilizokuwa
zikitolewa muda mfupi baada ya kumalizika kwa matembezi hayo ya hisani
kuchangia juhudi mbalimbali zinazoendelea za kukabiliana na tatizo la ugonjwa
wa sarani ya matiti. NBC ilikuwa moja kati ya wachangiaji wakubwa
waliofanikisha matembezi hayo.
Baadhi ya wafanyakazi wa
NBC wakipozi kwa picha ya kumbukumbu na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto kabla ya kuanza kwa matembezi hayo ya hisani kuchangia harakati
za kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa saratani. NBC ilikuwa moja kati ya
wachangiaji wakubwa waliofanikisha matembezi hayo.
Baadhi ya wafanyakazi wa
NBC wakipiga picha pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto, Ummy Mwalimu baada ya kumalizika
kwa matembezi hayo. NBC ilikuwa moja kati ya wachangiaji wakubwa
waliofanikisha matembezi hayo.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha
Kibenki cha Taasisi za Sekta ya Umma, Noelina Kivaria (kushoto),
akimsikiliza Waziri wa Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), wakati
wa matembezi ya hisani kuchangia juhudi za kupambana na saratani ya matiti
jijini Dar es Salaam hivi karibuni. NBC ilikuwa moja kati ya wachangiaji
wakubwa waliofanikisha matembezi hayo. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi
ya Saratani ya Ocean Road(ORCI), Dk. Julus Mwaiselage.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha
Kibenki cha Taasisi za Umma, Noelina Kivaria (kushoto) akipokea cheti cha
shukrani kutoka kwa Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kwa kutambua mchango wa
NBC katika kufanikisha matembezi ya hisani ya kuchangia juhudi za kukabiliana
na tatizo la ugonjwa wa saratani ya matiti. NBC ilikuwa moja kati ya
wachangiaji wakubwa waliofanikisha matembezi hayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...
No comments:
Post a Comment