Tuesday, December 5, 2017
Vijana wahitimu wa vyuo kunufaika na programu ya Wajibika ya Benki ya NBC
Mmoja wa waratibu wa programu ya Wajibika wa Benki ya NBC, Imani Sinkonde (kushoto), akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuhusu Programu ya Wajibika yenye lengo la kuwaandaa vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.
Mmoja wa waratibu wa programu ya Wajibika wa Benki ya NBC, Loveness Mseke (kushoto), akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuhusu Programu ya Wajibika yenye lengo la kuwaandaa vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.
Mmoja wa waratibu wa programu ya Wajibika wa Benki ya NBC,Rahma Suleiman (kushoto), akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), jijini Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu Programu ya Wajibika yenye lengo la kuwaandaa vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.
Mmoja wa waratibu wa programu ya Wajibika wa Benki ya NBC, Emanuel Agostino (kulia), akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia na Uongozi Kilimanjaro jijini Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu Programu ya Wajibika yenye lengo la kuwaandaa vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.
Mmoja wa waratibu wa programu ya Wajibika wa Benki ya NBC, Michael Mwangoka (kulia), akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia na Uongozi Kilimanjaro jijini Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu Programu ya Wajibika yenye lengo la kuwaandaa vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...
No comments:
Post a Comment