RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME AWASILI NCHINI NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI JANUARI 14, 2018 - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Monday, January 15, 2018

demo-image

RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME AWASILI NCHINI NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI JANUARI 14, 2018

1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaliamiana na Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Januari 14, 2018. 
2

3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kumpokea katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Januari 14, 2018. 
4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye Gadi ya Jeshi ya heshma pamoja na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kumpokea katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Januari 14, 2018. 
5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wakielekea Ikulu kwa ajili ya mazungumzo. Januari 14, 2018. 
6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia frame ya Picha ya Kiasili aliyokabidhiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza kwa mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14, 2018.
7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza mazungumzo ya Kiserikali na Rais wa Rwanda Paul Kagame (Serikali ya Rwanda) Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14, 2018. 
8
Rais wa Rwanda Paul Kagame akihotubia Watanzania kupitia vyombo vya habari mara baada ya kumaliza mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14, 2018.
9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia Watanzania kupitia vyombo vya habari mara baada ya kumaliza mazungumzo na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14, 2018.
10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi jambo na Rais wa Rwanda Paul Kagame pamoja na makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa kumsindikiza Rais Paul Kagame wa Rwanda mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14, 2018.

No comments:

Post a Comment

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaliamiana na Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Januari 14, 2018.  ...

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *