Sunday, February 18, 2018

Program ya Wajibika ya Benki ya NBC mkombozi kwa vijana
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Mussa Severin (kushoto),anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC yenye lengo la kuwawezesha vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Adeth Philimon (kushoto),anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC yenye lengo la kuwawezesha vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Oliver Proper (kushoto),anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC yenye lengo la kuwawezesha vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Deogratus Alexanda (kushoto),anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC yenye lengo la kuwawezesha vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Flora Odunda (kushoto),anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC yenye lengo la kuwawezesha vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Geofrey Frank (kushoto),anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC yenye lengo la kuwawezesha vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Vedastus Yegela (kushoto), anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC yenye lengo la kuwawezesha vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Airtel, UNICEF wakabidhi Vifaa vya Intaneti ya kasi kwa Shule 30 za Sekondari Dodoma
Mwakilishi wa Afisa Elimu Sekondari Mkoa wa Dodoma, Bi. Grace Samweli, (Kulia) akipokea moja ya vifaa vya intaneti kutoka kwa Meneja wa Kand...

No comments:
Post a Comment