Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi yafamya ziara Wizara ya Afya - THINKING IN BUSINESS

Mgongopr.blogspot.com is a business centered online platform highlighting trade, finance and economic news in Tanzania. Our coverage is customised to ensure we consolidate brands, boost sales and nurture investments. The site is an imprint of Mgongo Logistics and Solutions, a trusted consultancy firm, offering Social Media Management, Photography, Videography, Advertising, Event Management and Translation. For more information contact us via; Phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Tuesday, March 20, 2018

Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi yafamya ziara Wizara ya Afya

Waziri wa Afya wa Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akiikaribisha Kamati  ilipofika ofisini kwake Mnazi mmoja kwa ajili ya kutoa mrejesho wa ziara yake iliyofanya katika Vitengo vya Wizara hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini akizungumza machache kabla ya Wajumbe wa Kamati yake kuchangia taarifa ya ziara yao kwa Vitengo vya Wizara hiyo.
Katibu wa Wizara ya Afya Asha Abdulla akisoma taarifa ya Utekelezaji wa kazi za Wizara kwa kipindi cha mwezi Octoba-Disemba 2017/2018 mbele ya Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi.
Mjumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Mwanaasha Khamis Juma katikati akichangia taarifa iliyotolewa ya Kamati yao kwa Wizara ya Afya.
Mjumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Masoud Ibrahim ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Bububu akipitia taarifa ya Utekelezaji wa kazi za Wizara ya Afya kwa kipindi cha mwezi Octoba-Disemba 2017/2018. Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya mnazi mmoja. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Portwest Deepens East African Footprint with Apparel Manufacturing Investment in TanzaniaDar es Salaam, Tanzania

The Deputy Minister for Industry and Trade, Hon. Denis Londo (center), cuts the ribbon to mark the official opening of Afriport’s occupation...

Pages