Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto), akikabidhi kadi ya gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ kwa Fatuma Saidi Ramadhani, mmoja wa washindi sita wa kampeni ya Malengo ya NBC jijini Dar es Salaam jana. Anayeangalia ni Mkurugemnzi wa Wateja Binafsi wa benki hiyo, Filbert Mponzi. Kampeni hiyo ilidumu wa muda wa miezi mitatu.
Mshindi wa zawadi ya gari ya kampeni yas Malengo ya NBC, Fatuma Saidi Ramadhani (katikati), akionyesha kadi ya gari lake baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (kushoto). Kulia ni Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa benki hiyo, Filbert Mponzi na baadhi ya familia ya mshindi huyo.
No comments:
Post a Comment