RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE MOROGORO - THINKING IN BUSINESS

Mgongopr.blogspot.com is a business centered online platform highlighting trade, finance and economic news in Tanzania. Our coverage is customised to ensure we consolidate brands, boost sales and nurture investments. The site is an imprint of Mgongo Logistics and Solutions, a trusted consultancy firm, offering Social Media Management, Photography, Videography, Advertising, Event Management and Translation. For more information contact us via; Phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Tuesday, May 8, 2018

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE MOROGORO



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na watu mbalimbali alipokuwa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo jana Mei 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia jumuiya ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho jana Mei 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribisha maswali, maoni na ushauri toka kwa  jumuiya ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho jana Mei 7, 2018. Wengine toka kulia ni Mama Janeth Magufuli, Makamu Mkuu wa SUA Profesa  Raphael Tihelwa Chibunda,  Waziri wa elimu,sayansi,na teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe stephen Kebwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kwa taarifa nzuri Makamu Mkuu wa  Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Profesa Raphael Tihelwa Chibunda alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho jana Mei 7, 2018.
Sehemu ya wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine mkoani Mrorogoro wakimsilikiza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipofika na kukutana nao chuo hapo jana Mei 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Makamu Mkuu wa  Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Profesa Raphael Tihelwa Chibunda alipofika na kukutana na wafanyakazi na wanafunzi pamoja na wadau wa chuo hicho jana Mei 7, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungiana mikono na wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) baada ya kukutana nao jana Mei 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na baadhi ya  wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) baada ya kukutana nao jana Mei 7, 2018.  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa alipotembelea   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na kukutana na wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa chuo hicho jana Mei 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wa dini na wa taasisi mbalimbali alipotembelea   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na kukutana na wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa chuo hicho jana Mei 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Bw. Tandari baada ya kukutana na  kuongea na wanafunzi, wahadhiri, wafanyakazi na wadau wa   Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) baada jana Mei 7, 2018.  Wengine ni  Waziri wa elimu,sayansi,na teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe stephen Kebwe.

No comments:

Post a Comment

APeF Yazindua Mfuko wa Ziada Kupanua wigo wa uwekaji Akiba, Uwekezaji na Ulinzi

  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, (CMSA), CPA Nicodemus Mkama, akikabidhi waraka wa ofa kwa Kaimu Mwenyekiti ...

Pages