Tanga Cement yajenga wodi ya daraja la kwanza katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni, litatumika kwa wagonjwa maalumu na hata kwa viongozi wakipata dharura wilayani humo. - THINKING IN BUSINESS

Mgongopr.blogspot.com is a business centered online platform highlighting trade, finance and economic news in Tanzania. Our coverage is customised to ensure we consolidate brands, boost sales and nurture investments. The site is an imprint of Mgongo Logistics and Solutions, a trusted consultancy firm, offering Social Media Management, Photography, Videography, Advertising, Event Management and Translation. For more information contact us via; Phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Thursday, June 7, 2018

Tanga Cement yajenga wodi ya daraja la kwanza katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni, litatumika kwa wagonjwa maalumu na hata kwa viongozi wakipata dharura wilayani humo.

Meneja Uzalishaji wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Mhandisi Ben Lema (wa pili kulia), akishikana mikono na Katibu Tawala wa Wilaya ya Handeni,Upendo Magashi, katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi jengo la wodi ya
daraja la kwanza
la hospitali ya wilaya hiyo pamoja na samani zake lililojengwa msaada kwa gharama ya shs milioni 87. Wengine ni baadhi ya viongozi wa wilaya hiyo. Hafla ya makabdhiano ilifanyika Handeni, Tanga hivi karibuni.
Meneja Uzalishaji wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Mhandisi Ben Lema na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, Mgaya Twaha (kulia), wakikata utepe kuashiria makabidhiano rasmi ya  jengo la wodi ya
daraja la kwanza​
la hospitali ya Wilaya ya Handeni lililojengwa msaada kwa gharama ya shs milioni 87 na Tanga Cement. Anayeshuhudia ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Upendo Magashi. 

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, Mgaya Twaha, akizungumza katika hafla ambayo Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC) ilikabidhi jengo la wodi ya
daraja la kwanza
pamoja samani zake la hospitali ya wilaya hiyo lililojengwa msaada kwa gharama ya shs milioni 87. Hafla ya makabidhiano ilifanyika, Handeni mkoani Tanga. Kushoto ni Meneja Kiwanda wa Tanga Cement, Mhandisi Ben Leman na kulia ni Katibu Tawala wa Handeni, Upendo Magashi.

Ofisa Mawasiliano wa  Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Helen Maleko (kulia), akizungumza katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi jengo la wodi ya
daraja la kwanza
pamoja samani zake la hospitali ya wilaya hiyo lililojengwa msaada kwa gharama ya shs milioni 87. Hafla ya makabidhiano ilifanyika, Handeni, Tanga mwishoni mwa wiki. Wengine ni viongozi wa wilaya na kutoka TCPLC. 
Baadhi ya wananchi  na wafanyakazi wa Hospitali ya Wilaya ya Handeni waliohudhuria hafla hiyo.

Viongozi wa kiserikali na kisiasa pamoja na maofisa wa Tanga Cement wakipiga picha ya kumbukumbu mbele ya jengo la wodi ya daraja la kwanza la Hospitali ya Wilaya ya Handeni lililojengwa na kampuni hiyolitatumika kwa wagonjwa maalumu na hata kwa viongozi wakipata dharura wilayani humo.

No comments:

Post a Comment

SERIKALI YASISITIZA UTAALAMU NA UBUNIFU KATIKA UNUNUZI NA UGAVI

Serikali imewataka wataalam wa ununuzi na ugavi nchini kuongeza ubunifu, uongozi bora na matumizi ya teknolojia za kisasa ili kuongeza ufani...

Pages