NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA APIGA JEKI UJENZI WA OFISI YA CCM KIPAWA - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Sunday, March 17, 2019

NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA APIGA JEKI UJENZI WA OFISI YA CCM KIPAWA

Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa, akizungumza na wakazi wa Kipawa na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kabla ya kugawa Mifuko 30 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kipawa ambayo inatraji kufanyiwa ukarabati.
Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa  akikabidhi mifuko 30 ya Saruji kwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kata ya Kipawa kwa ajili ya kukarabati ofisi za Chama hicho.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala(UWT),Amina Dodi akitoa neno kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzungumza.
 Katibu Mkuu wa Umojha wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala,Bora Hassan akitoa utambulisho wa Viongozi wa meza kuu.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Kipawa Adiriano Komba, akizungumza na kutoa shukrani kwa niaba ya wakazi wa Kipawa mara baada yakupokea msaada huo kushoto kwake ni  Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa pamoja na viongozi wengine kutoka chama hicho .
Wananchi wa Kipawa waliohudhuria katika Mkutano wa Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa
Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa akiwasili katika viwanja vya mkutano. Picha zote na Brian Peter

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...

Pages