Friday, May 31, 2019
TP Malaika yaichabanga Airwing 2-1 Prophet Suguye Cup
Mshambuliaji
wa timu ya Airwing FC Ibrahim Juma,
mwenye jezi ya bluu akijaribu kumtoka beki wa TP Malaika ya Machimbo,
wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule
ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam ambapo katika mchezo
huo timu ya TP Malaika imeibuka kidedea kwa kuichapa Airwing mabao 2-1.
Mshambuliaji
wa timu ya Airwing FC Mussa Maulidi (kushoto), akimkabili beki wa TP Malaika ya
Machimbo, wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja
vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo
huo timu ya TP Malaika imeibuka kidedea kwa kuichapa Airwing mabao 2-1
Mshambuliaji
wa timu ya TP Malaika ya machimbo Salum Machaku, mwenye mpira akijaribu kuwatoka mabeki wa Airwing
FC, wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya
Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo
timu ya TP Malaika imeibuka kidedea kwakuichapa Airwing mabao 2-1.
Golikipa
wa timu ya Airwing Iddi Mohamedi, akijaribu kuokoa moja ya mashambulizi wakati wa
mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi
Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo timu ya TP
Malaika imeibuka kidedea kwa kuichapa Airwing mabao 2-1.
Nahodha
na Mshambuliaji wa timu ya TP Malaika ya machimbo Candy Panya (wambele), akiwania mpira wakati wa mchezo wa ligi ya
PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule
nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo timu ya TP Malaika imeibuka
kidedea kwa kuichapa Airwing mabao 2-1.
Beki
wa timu ya Airwing FC Raymond Chaburu (aliepiga mpira kwa kichwa), akiokoa moja
ya shambulizi wakati wa mchezo wa ligi ya
PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule
nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo timu ya TP Malaika imeibuka
kidedea kwa kuichapa Airwing mabao 2-1
Mashabikiwalifikakushuhudiamtanange
huo.
Tags
# SPORTS AND ENTERTAINMENT
Share This
SPORTS AND ENTERTAINMENT
Labels:
SPORTS AND ENTERTAINMENT
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...
No comments:
Post a Comment