Monday, June 24, 2019

TIMU YA JESHI YAINYUKA MIEMBENI 4-2 LIGI YA PROPHET SUGUYE
Mshambuliaji wa timu ya Air Wing FC Maselo Said (kushoto), akimtoka Beki wa Miembeni FC Tumpale Kasebele, wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo Airwing ilishinda mabao 4-2 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu hizo wa kiwania mpira wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo Airwing ilishinda mabao 4-2 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa timu ya Airwing FC Mushta Thabiti (kulia), akijaribu kumtoka mchezaji wa Miembeni FC, wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam, Airwing ilishinda mabao 4-2 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Miembeni FC Idris Abdalaah, akijaribu kuokoa moja ya heka heka wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo Airwing ilishinda mabao 4-2 mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
AGRA, Sahara Accelerator kunufaisha vijana wengi kupitia kilimo
Na Mwandishi Wetu Kilimotech Accelerator kupitia Youth Entrepreneurship for the Future of Food and Agriculture (YEFFA) inayodhaminiwa na shi...

No comments:
Post a Comment