Tuesday, August 13, 2019
NBC yazidi kuboresha mtandao wa mawakala wake
Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya NBC, Theobald Sabi, akizungumza na baadhi ya mawakala wa benki hiyo
wakati wa Semina ya siku moja kuhusu elimu ya utoaji wa huduma za kifedha kwa
mawakala iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkuu wa huduma za
benki kidigitali wa Benki ya NBC, Deogratius Mosha, akizungumza na baadhi ya
mawakala wa benki hiyo wakati wa Semina ya siku moja kuhusu elimu ya utoaji wa
huduma za kifedha kwa mawakala iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam
hivi karibuni.
Mkuu wa huduma za
benki kidigitali wa Benki ya NBC, Deogratius Mosha (kushoto), akikabidhi cheti
kwa mmoja wa mawakala wao Monica Kikoti baada ya kuhudhuria semina kuhusu elimu
ya utoaji wa huduma za kifedha kwa mawakala iliyoandaliwa na benki hiyo jijini
Dar es Salaam hivi karibuni.
Meneja Ukuzaji wa Biashara wa Kitengo cha
biashara ndogondogo na za kati wa Benki ya Taifa ya Biashara, Jonathan Bitababaje, akizungumza na baadhi ya mawakala wa benki hiyo wakati wa Semina
ya siku moja kuhusu elimu ya utoaji wa huduma za kifedha kwa mawakala
iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya NBC, Theobald Sabi, akizungumza na baadhi ya mawakala wa benki hiyo
wakati wa Semina ya siku moja kuhusu elimu ya utoaji wa huduma za kifedha kwa
mawakala iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Pamoja naye ni baadhi ya maofisa wa ngazi za juu wa benki hiyo.
Baadhi ya Mawakala wa
Benki ya NBC wakihudhuria semina iliyoandaliwa na benki hiyo juu ya utoaji wa
huduma za kifedha kupitia NBC Wakala, jijini hivi karibuni
Mkuu wa huduma za
benki kidigitali wa Benki ya NBC, Deogratius Mosha (kushoto), akikabidhi cheti
kwa mmoja wa mawakala wao Monica Kikoti baada ya kuhudhuria semina kuhusu elimu
ya utoaji wa huduma za kifedha kwa mawakala iliyoandaliwa na benki hiyo jijini
Dar es Salaam hivi karibuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
BENKI YA ABSA YAENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE WAJASIRIMALI KIUCHUMI
Meneja Bidhaa wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Bryton Kimemeta (kushoto), akizungumza na baadhi ya wanawake wajasiriamali, wanachama wa Taasis...
No comments:
Post a Comment