Saturday, December 14, 2019
Benki ya NBC yakutana na wateja wake kuwashukuru kwa mahusiano bora kwa mwaka 2019
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi
wa Fedha wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS),
Abdallah Mwaduga katika hafla waliyowaandalia wateja wao jijini Dar es Salaam
ikiwa ni sehemu ya kutoa shukurani kwa mahusiano bora ya kibiashara kati ya NBC
na wateja hao kwa mwaka 2019. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Katikati ni Ofisa katika kitengo cha wateja binafsi wa NBC, Rehema Chonde.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kulia), akifurahi pamoja na baadhi ya
wateja wa benki hiyo katika hafla waliyowaandalia wateja wao jijini Dar es
Salaam ikiwa ni sehemu ya kutoa shukurani kwa mahusiano bora ya kibiashara kati
ya NBC na wateja hao kwa mwaka 2019. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam
juzi. Kutoka Kushoto ni Mkuu wa Kampuni G4S Cash Solutions Tanzania, Hassan
Nuru na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya G4S Secure Solutions Tanzania, Barry
Hogg.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto), akisalimia na Mkurugenzi wa
Kampuni ya Enterprises Business Department, Tony Wu huku Ofisa Fedha Mkuu wa
Kampuni ya Huawei Technologies Tanzania, Mao Jinbao akiangalia katika hafla
waliyowaandalia wateja wao jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kutoa
shukurani kwa mahusiano bora ya kibiashara kati ya NBC na wateja hao kwa mwaka
2019. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Mjumbe
wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya NBC, Dk. Kassim Hussein (kulia),
akisalimiana na baadhi ya wateja waliohudhuria hafla waliyowaandalia
wateja wao jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kutoa shukurani kwa
mahusiano bora ya kibiashara kati ya NBC na wateja hao kwa mwaka 2019. Hafla
hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Mkurugenzi
wa Wateja wa Makampuni wa Benki ya NBC, Linley Kapya (kushoto), akisalimiana na
Mkurugenzi wa Fedha wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili
(MUHAS), Abdallah Mwaduga katika hafla waliyowaandalia wateja wao jijini Dar es
Salaam ikiwa ni sehemu ya kutoa shukurani kwa mahusiano bora ya kibiashara kati
ya NBC na wateja hao kwa mwaka 2019. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam
juzi. Katikati ni Ofisa katika kitengo cha wateja binafsi wa NBC, Rehema
Chonde.
Mjumbe
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya NBC, Dk. Kassim Hussein (kushoto),
akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Anga Tanzania, Hamza Johari, huku
Meneja Mahusiano wa NBC, William Kallaghe (katikati), akiangalia, katika
hafla waliyowaandalia wateja wao jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kutoa
shukurani kwa mahusiano bora ya kibiashara kati ya NBC na wateja hao kwa mwaka
2019. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Mkurugenzi
wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis ndunguru (katikati), akizungumza jambo na
Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Theobald Sabi (kushoto), huku Mwenyekiti wa
Kampuni ya Chelsea Starway Group, Martin Mbwana akisikiliza, katika hafla
waliyowaandalia wateja wao jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kutoa
shukurani kwa mahusiano bora ya kibiashara kati ya NBC na wateja hao kwa mwaka
2019. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ABSA BANK TANZANIA SEES GLOBAL VOLATILITY AS A CATALYST FOR TANZANIAN COMPETITIVE ADVANTAGE
Corporate Banking Director at Absa Bank Tanzania, Ms. Nellyana Mmanyi, addresses participants during a meeting organized for senior business...







No comments:
Post a Comment