Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu (aliepiga magoti), akizindua rasmi zoezi la upandaji miti lililopewa jina la Kijanisha Dodoma na kudhaminiwa na Benki ya NBC katika mtaa wa Swaswa Halmashauri ya jiji la Dodoma likiwa na lengo la kutunza mazingira katika mkoa huo. Nyuma ya mheshimiwa waziri ni Meneja wa Kanda ya kati wa NBC James Ndimbo, Afisa mauzo wa benki hiyo, Zachalia Lema (kushoto), pamoja na Mkuu wa huduma kwa Wateja, Anne Mwasaka. Upandaji miti huo umefanyika Dodoma hivi karibuni.

No comments:
Post a Comment