MAKAMU WA RAIS ZIARANI KICHAMA UBUNGO - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Thursday, June 25, 2020

MAKAMU WA RAIS ZIARANI KICHAMA UBUNGO

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ubungo  alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Ubungo leo Juni  25,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati Siasa na Sekretarieti ya CCM. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Jijini Dar es Salaam.
 
Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Ubungo wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam leo Juni 25,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Ubungo  Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 25, 2020 alipokuwa katika ziara ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

SIMTANK TANZANIA YATOA ZAWADI KWA MAWAKALA WAKE WAKISHEREHEKEA MIAKA 35 TANGU KUANZISHA

    Mwanzilishi wa Kampuni ya Silafrika Tanzania inayozalisha bidhaa za Simtank, Gulab Shah (wapili kushoto), akikabidhi cheti na zawadi ya ...

Pages