BENKI YA SERIKALI YA BIASHARA TCB YAZINDULIWA RASMI - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Thursday, July 15, 2021

BENKI YA SERIKALI YA BIASHARA TCB YAZINDULIWA RASMI

 

WhatsApp%2BImage%2B2021-07-15%2Bat%2B9.32.55%2BAM%2B%252819%2529
Muonekano mpya wa jina na nembo mpya ya Benki ya Serikali ya biashara 'Tanzania Commercial Bank' (TCB.)
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza wakati wa uzinduzi wa benki mpya ya Serikali ya biashara TCB na kueleza kuwa kinachotegemewa ni ubunifu na kufanya kazi kwa ushindani ili kujenga uchumi imara wa taifa, jijini Dar es Salaam.


Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya TCB Sabasaba Moshingi akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo na kuahidi kufanya kazi kwa kwa uadilifu ili kuyafikia malengo kwa hali ya juu, jijini Dar es Salaam.
WhatsApp%2BImage%2B2021-07-15%2Bat%2B9.32.55%2BAM%2B%25287%2529
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa benki ya TPB na sasa TCB Edmund Mndolwa akizungumza katika hafla ya uzinduzi rasmi wa benki hiyo na kusema kuwa taasisi hiyo ya umma itatoa huduma zote za kibenki kwa ubunifu na ushiundani, Jijini Dar es Salaam.

19

Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt.  Mwigulu Lameck Nchemba (watatu kushoto), akikabidhiwa mfano wa kadi zitakazotumika katika Benki hiyo na Afisa Mtendaji Mkuu wa  Benki ya TCB  Sabasaba Moshingi, wapili kulia20

Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt.  Mwigulu Lameck Nchwmba akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo  Edmund Mndolwa.

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...

Pages