Wednesday, August 24, 2022

Absa yazindua kadi ya malipo ya visa kwa wafanyabiashara
Mkuu
Wa Kitengo cha wateja Binafsi wa Benki ya Absa, Bi. Ndabu Lilian Swere
(katikati), Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano, Aron Luhanga
(kushoto) na Meneja wa Bidhaa za Wateja Binafsi wa benki hiyo, Bi.
Elfrida Mruma wakionyesha kadi mpya ya malipo ya Visa kwa
wafanyabiashara ya benki ya Absa baada ya kuizindua jijini Dar es Salaam
Leo.
Mkuu
wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron
Luhanga (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya
Visa kwa wafanyabiashara ya benki ya Absa jijini Dar es Salaam Leo.
Kushoto kwake ni Mkuu Wa Kitengo cha wateja Binafsi wa benki hiyo, Ndabu
Lilian Swere na Meneja wa Bidhaa za Wateja Binafsi wa Absa, Elfrida
Mruma.
Mkuu
Wa Kitengo cha wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Ndabu
Lilian Swere (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar
es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya Visa kwa
wafanyabiashara ya benki ya Absa. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha
Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa, Aron Luhanga na Meneja wa Bidhaa
za Wateja Binafsi wa benki hiyo, Elfrida Mruma.
Meneja
wa Bidhaa za Wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Elfrida
Mruma (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya Visa
kwa wafanyabiashara ya benki ya Absa jijini Dar es Salaam leo. Kulia
kwake ni Mkuu Wa Kitengo cha wateja Binafsi wa Benki ya Absa, Bi. Ndabu
Lilian Swere na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo,
Aron Luhanga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Akiba Commercial Bank Plc Yazungumza na Wateja Wake Mjini Moshi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Akiba Commercial Bank PLC Bw. Silvest Arumasi akifungua Mkutano wa wateja wa Benki hiyo mkoa wa Moshi wenye...
No comments:
Post a Comment