TANZANIA COMMERCIAL BANK YATOA ELIMU YA FEDHA KWA WASTAAFU DAR ES SALAA - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Friday, September 9, 2022

TANZANIA COMMERCIAL BANK YATOA ELIMU YA FEDHA KWA WASTAAFU DAR ES SALAA

01

Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Tanzania Commercil Bank TCB Adolphina William akizungumza wakati wa semina maalum kwa wastaafu iliyoandaliwa na TCB kwa wastaafu wote wa jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndoto zao. , hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Karume uliopo katika viwanja vya sabasaba, wengine pichani ni Maafisa kutoka TCB"1E1A2600Meneja wa Tanzania Commercial Bank TCB Tawi la Metropolitan Lilian Mbaya, akitoa huduma kwa mteja wa Benki hiyo ambae pia ni mstaafu wakati wa Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba1E1A2534Meneja wa Tanzania Commercial Bank TCB Tawi la Kariakoo Faraji Basso akizungumza wakati wa Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba jijini humo.
1E1A2426
Meneja wa Tanzania Commercial Bank akizungumza na wazee wastaafu waliohudhuria Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba jijini humo.1E1A2485Meneja Mwandamizi wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Ramadhani Mganga akizungumza wakati wa Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba jijini humo.



02Meneja Masoko wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Theresia Soka akizungumza wakati wa Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba jijini humo.1E1A2578Afisa Masoko wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Dorothea Lymo, akimsikiliza mmoja ya mteja na Mstaafu wakati wa Semina maalum ya wastaafu iliyoandaliwa na TCB kwaajili yakuwapa elimu ya kifedha pamoja na kuwaaminisha kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao
1E1A2226Meneja Mwandamizi Idara ya Mikopo wa Tanzania Commercial Bank (TCB),Joanitha Deogratias (kushoto), akitoa huduma kwa wazee wastaafu zaidi ya 5000 waliojitokeza kwenye Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba jijini humo.
1E1A2233
Afisa wa Tanzania Tanzania Commercial Bank akiendelea kufanya usajili kwa wazee waliokuwa wakiingia kwenye Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es Salaam yenye lengo la kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba jijini humo.

No comments:

Post a Comment

AKIBA COMMERCIAL PLC YASHIRIKIANA NA TIA KUPANDA MITI 1,500 KATIKA KAMPENI YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Dar es Salaam, 13 Juni 2025 : Akiba Commercial Plc imeonyesha dhamira yake endelevu ya kutunza mazingira kupitia zoezi la kupanda miti kwa u...

Pages