AKIBA COMMERCIAL BANK YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA - THINKING IN BUSINESS

Mgongopr.blogspot.com is a business centered online platform highlighting trade, finance and economic news in Tanzania. Our coverage is customised to ensure we consolidate brands, boost sales and nurture investments. The site is an imprint of Mgongo Logistics and Solutions, a trusted consultancy firm, offering Social Media Management, Photography, Videography, Advertising, Event Management and Translation. For more information contact us via; Phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Tuesday, October 3, 2023

AKIBA COMMERCIAL BANK YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA



Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Akiba Bw: Silvest Arumasi, amezindua rasmi wiki ya huduma kwa wateja katika tawi la Kijitonyama. Katika uzinduzi huo, Mkurugenzi amewashukuru wateja kwa kuichagua na kuiamini Benki ya Akiba katika kuwahudumia. Aidha, ameendelea kuwaahidi na kuwahakikishia wateja huduma bora kutoka ACB.

Sherehe za huduma kwa wateja zina adhimishwa katika matawi yote ya ACB na hivyo Bw: Arumasi amewaalika wateja wote kutembelea matawi ya Akiba kwa ajili ya kusherekea wiki hii ya huduma kwa wateja pamoja na kupata taarifa mbali mbali za huduma mpya na maboresho mbali mbali. Mwisho kabisa

Mkurugenzi amewashukuru wateja wote walioshiriki katika zoezi la utafiti wa viwango vya uridhikaji katika utoa huduma yaani (Customer Satisfaction Survey) lililoratibiwa na kampuni huru ya kujitegemea kwa lengo la kuhakikisha uwazi na uhuru wa kutoa maoni kwa wateja.

ACB inao utamaduni wa kufanya utafiti huo kila mwaka na hivyo amewasihi wateja kushiriki tena kikamilifu kwa lengo la kupata maoni na mirejesho itakayosaidioa kuboresha huduma zitolewazo

No comments:

Post a Comment

Portwest Deepens East African Footprint with Apparel Manufacturing Investment in TanzaniaDar es Salaam, Tanzania

The Deputy Minister for Industry and Trade, Hon. Denis Londo (center), cuts the ribbon to mark the official opening of Afriport’s occupation...

Pages