Thursday, March 10, 2016
![](https://1.bp.blogspot.com/-7Kd9qaiRHuA/WaEtZyc70TI/AAAAAAAADsA/7WUYBVoY-UwwjdEP3kDFPvH9htN0dDKgQCLcBGAs/s1600/demo-image.jpg)
Chama cha Waajiri (ATE) waadhimisha siku ya wanawake.
Makamu Mwenyekiti wa Chama
Cha Waajiri (ATE), Zuhura Muro akizungumza katika hafla ya Siku ya Wanawake
Duniani jijini Dar es Salaam juzi. Hafla hiyo iliandaliwa na ATE kwa ushirikiano na kampuni ya Kazi
Services Ltd jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa miradi wa Chama cha
Waajiri Tanzania (ATE), Joyce Nangai (wa pili kushoto), akibadilishana mawazo
na Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One, Joyce Mhaville katika hafla ya
maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na ATE kwa ushirikiano na
kampuni ya Kazi Services Ltd jijini Dar es Salaam juzi.
Mratibu wa Mradi wa Program ya Mwanamke wa Wakati Ujao ya Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Lilian
Machera (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Masako na
Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Neema Rose Singo katika hafla ya
maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na ATE kwa ushirikiano na
kampuni ya Kazi Services Ltd jijini Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya washiriki wa hafla hiyo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi
ambaye alikuwa ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
Baadhi ya watumishi wa ATE
wakipozi kwa picha katika hafla hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Minister officially launches real estate giant Coldwell Banker Tanzania and Zanzibar
Zanzibar Minister for Labour, Economy, and Investment, Shariff Ali Shariff addresses guests during the launch of Coldwell Banker Tanzania an...
No comments:
Post a Comment