Tamasha la Uhondo wa Zantel lazidi kupasua anga - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Wednesday, October 26, 2016

Tamasha la Uhondo wa Zantel lazidi kupasua anga





Tamasha la Uhondo wa Zantel linalodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel limeendelea kukonga nyoyo za wakazi wa sehemu mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam mara hii ikiwa ni zamu ya wakazi wa Kimara na maeneo ya jirani kama inavyoonekana katika picha hizi hapo juu. ambamo msanii maarufu wa muziki wa ‘singeli’ Rajabu Selemani ‘virusi mdudu’ (kushoto), akikonga nyoyo za wakazi wa maeneo hayo katika viwanja vya Rhino, Kimara jijini humo, ikiwa ni moja ya kampeni za kampuni ya simu za mkononi ya Zantel kuwa karibu na wateja wake ikiwajulisha bidhaa na huduma zao zilizopo sokoni.

No comments:

Post a Comment

Minister officially launches real estate giant Coldwell Banker Tanzania and Zanzibar

Zanzibar Minister for Labour, Economy, and Investment, Shariff Ali Shariff addresses guests during the launch of Coldwell Banker Tanzania an...

Pages