Brazuka Kibenki kutimua vumbi Julai - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Friday, May 19, 2017

Brazuka Kibenki kutimua vumbi Julai

Mwakilishi wa Benki ya Barclays, Rajabu Abdallah (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za mpira wa miguu na kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kuanzia tarehe 01- julai mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.iKushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Richard Mwalwiba wa NMB, na Mratibu wa mashindano hayo Raymond Bunyinyiga.
Mwakilishi wa Benki ya UBA,Vitalis Bosha (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu zampira wa miguu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Mratibu wa mashindano hayo Raymond Bunyinyiga na Iddi Yakoub wa DTB.
Mratibu na Mwanzilishi wa Ligi ya Mabenki iliyo pewa jina la Brazuka Kibenki Raymond Bunyinyiga wa pili (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu zampira wa miguu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kuanzia tarehe 01- julai mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Wengine pichani ni baadhi ya wawakilishi wa Benki hizo.
Mratibu na Mwanzilishi wa Ligi ya Mabenki ya Brazuka Kibenki,  Raymond Bunyinyiga wa pili (kztikati) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya utambulisho wa ligi hiyo.  kushoto ni mwakilishi wa Benki ya NMB, Richard Mwalwiba  na mwakilishi wa DTB, Iddi Yakoub.
Mwakilishi  na timu kampeni wa Benki ya Barclays Tanzania Rajabu Abdallah (wa tatu kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla hiyo. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Raymond Bunyinyiga wa Barclays, Iddi Yakoub wa DTB, mwakilishi wa Exim Benki Mikidadi Ngoma (kulia) na wa pili kulia ni Richard Mwalwiba kutoka NMB.

Mwakilishi  na timu kampeni wa Benki ya Exim,Mikidadi Ngoma wa tatu (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari  katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Brazuka Kibenki jijini Dar es Salaam hivi karibuni. ​​Wengine kutoka kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Raymond Bunyinyiga Barclays, Iddi Yakoub wa DTB,  mwakilishi wa Exim Benki, Mikidadi Ngoma (kulia) na wa pili kulia ni Richard Mwalwiba wa NMB.
 

No comments:

Post a Comment

Absa Dar City Marathon 2024 zatimua vumbi jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Bwana Aron Luhanga (kushoto), akikabidhi zawadi kwa mshindi wa kwanza wa mbio za nu...

Pages