Ngoma Africa band na muziki wao imetua kwa Wayaudi kutumbuiza sherehe za uhuru Yom Haatzmaut - THINKING IN BUSINESS

Mgongopr.blogspot.com is a business centered online platform highlighting trade, finance and economic news in Tanzania. Our coverage is customised to ensure we consolidate brands, boost sales and nurture investments. The site is an imprint of Mgongo Logistics and Solutions, a trusted consultancy firm, offering Social Media Management, Photography, Videography, Advertising, Event Management and Translation. For more information contact us via; Phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Friday, April 28, 2017

Ngoma Africa band na muziki wao imetua kwa Wayaudi kutumbuiza sherehe za uhuru Yom Haatzmaut

                                 Kamanda Ras Makunja akilindwa na madansa wake
                        Kamanda Ras Makunja mkuu wa kikosi kazi ngoma africa band
                             Ngoma Africa band aka FFU aka ANUNNAKI ALIEN
Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni aka viumbe wa ajabu Anunnaki aliens
Ngoma Africa band
Ngoma-Africa Band

Habari zinaeleza kuwa Ngoma Africa band aka FFU bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya yenye mako kule Ujerumani inatua nchini Israel kutumbuiza katika onyesho maalum la siku ya uhuru wa nchi ijulikanayo kama  Yom Haatzmaut siku ya tarehe 1 mpaka 2 Mei 2017 mjini Tel Aviv. Mmoja ya wanaitifaki wa maonyesho hayo Bi.Shimone amesema bendi hiyo ndio ya kwanza ya kiafrika kupata mwaliko wa kutumbuiza katika maonyesho hayo lakini hakupenda kuelezea zaidi. Habari za uhakika zimevuja kuwa bendi hiyo imesafiri kimya kimya kutoka Ujerumani kuelekea kwa wayahudi kwa ajili ya onyesho hilo. (By Buberwa Jacob)

No comments:

Post a Comment

BENKI YA ABSA YAENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE WAJASIRIMALI KIUCHUMI

Meneja Bidhaa wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Bryton Kimemeta (kushoto), akizungumza na baadhi ya wanawake wajasiriamali, wanachama wa Taasis...

Pages