Wednesday, March 22, 2017
Mshindi wa kampeni ya akaunti ya Malengo ya NBC akabidhiwa gari
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Beni ya NBC,
Filbert Mponzi (katikati), akikabidhi funguo ya gari aina ya Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka 2016 kwa
Aldo Nsuha mshindi wa kampeni ya akaunti ya malengo ya benki hiyo
iliyodumu kawa muda wa miezi mitatu. Kulia ni mke wa mshindi huyo, Zenobia
Tarimo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Wateja
wawili wa benki hiyo walishinda zawadi ya gari kila mmoja.
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Beni ya NBC,
Filbert Mponzi (katikati), akikabidhi nyaraka za bima za gari aina ya Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka 2016 kwa
Aldo Nsuha mshindi wa kampeni ya akaunti ya Malengo ya benki hiyo
iliyodumu kawa muda wa miezi mitatu. Kulia ni mke wa mshindi huyo, Zenobia
Tarimo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Beni ya NBC,
Filbert Mponzi (katikati), akikabidhi vibao vya namba za gari aina ya Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka 2016 kwa
Aldo Nsuha mshindi wa kampeni ya akaunti ya Malengo ya benki hiyo
iliyodumu kawa muda wa miezi mitatu. Kulia ni mke wa mshindi huyo, Zenobia
Tarimo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa kampeni ya akaunti ya
Malengo ya Benki ya NBC, Aldo Nsuha mkazi wa Tabata, jijini Dar es Salaam
akijaribu kuwasha gari lake aina ya Toyota Hilux
double cabin mpya ya mwaka 2016 baada ya kukabidhiwa jijini Dar es Salaam
leo. Anayemuangalia ni mke wake, Zenobia
Tarimo. (Photo by MPP LTD)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Absa Tanzania yang'ara tuzo za Chaguo la Walaji
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Stanslaus Nyongo (wa tatu kushoto) akikabidhi tuzo ya Benki Bora kwa kutoa ...
No comments:
Post a Comment