Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga
(TCPLC), Diana Malambugi (wa pili kulia), Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya
Nje wa Kampuni hiyo, Mtanga Noor (kulia), pamoja na baadhi ya wanawawake
wafanyakazi wa Kampuni ya Saruji Tanga pamoja na wake wa wafanyakazi,
wakishiriki mbio za pole pole kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani zilizoanza
eneo la Kange na kumalizikia katika kiwanda cha kampuni hiyo, Pongwe, nje
kidogo ya mji wa Tanga juzi.
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk. Amina
Mchalaganya (wa pili kulia), baadhi ya wanawawake wafanyakazi wa Kampuni ya
Saruji Tanga pamoja na wake wa wafanyakazi, wakishiriki mbio za pole pole (jogging), kuadhimisha Siku ya Wanawake
Duniani zilizoanza eneo la Kange na kumalizikia katika kiwanda cha kampuni
hiyo, Pongwe nje kidogo ya mji wa Tanga
Meneja Rasilimali Watu
wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Diana Malambugi (wa pili kulia), Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya Nje wa
Kampuni hiyo, Mtanga Noor (kushoto), Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk.
Amina Mchalaganya (wa pili kushoto),
pamoja na baadhi ya wanawawake wafanyakazi wa Kampuni ya Saruji Tanga pamoja na
wake wa wafanyakazi, wakishiriki mbio za pole pole kuadhimisha Siku ya Wanawake
Duniani zilizoanza eneo la Kange na kumalizikia katika kiwanda cha kampuni
hiyo, Pongwe, nje kidogo ya mji wa Tanga.
Mawasiliano na Mahusiano ya Nje wa Tanga Cement, Bi.
Mtanga Noor (kulia), akitoa zawadi kwa baadhi ya wanawake waliohudhuria
maadhimisho hayo.
Baadhi ya washiriki katika hafla hiyo wakiselebuka
mara baada ya kumaliza mbio na tukio la kupima afya zao ambapo wanawake hao
walipimwa na kupewa elimu kuhusu ugonjwa
wa saratani ya shingo ya kizazi.
Baadhi ya wanawake
wafanyakazi wa Kampuni ya Saruji Tanga wakipiga picha ya kumbukumbu katika
hafla hiyo.
Baadhi ya washiriki wakifanya
vitu vyao katika sherehe za maadhinisho ya Siku ya Wanawake Dunia ambayo kwa
mwaka 2017 Kampuni ya Tanga Cement waliadhimisha kwa kufanya mazoezi, kupima
afya na kupata mafundisho kuhusu masuala ya ujasiriamali.(All photo by Peter Mgongo)
No comments:
Post a Comment