Wednesday, December 21, 2016
Home
Unlabelled
Zantel yafungua duka la kisasa jengo la China Plaza Mtaa wa Uhuru,Kariakoo
Zantel yafungua duka la kisasa jengo la China Plaza Mtaa wa Uhuru,Kariakoo
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Zantel Tanzania, Benoit Janin (kulia), akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa duka na kituo cha huduma kwa wateja cha kampuni hiyo katika jengo
la China Plaza, Kariakoo, Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni wakala wa huduma
kwa wateja, Asengo Adam na Meneja wa duka hilo, Yasmeen Ismail.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Zantel Tanzania, Benoit Janin (katikati), akiangalia wakati
wakala wa huduma kwa wateja katika duka la kampuni lililopo katika jengo la
China Plaza, Magdalena Mbayuwayu (kulia), akihudumia wateja wakati wa uzinduzi
rasmi wa duka na kituo hicho, Kariakoo, Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni
Meneja wa duka hilo, Yasmeen Ismail.
Mkurugenzi
wa Huduma kwa Wateja wa Zantel Tanzania, Gabriel Magambo (katikati),
akizungumza na waandishi wa habari
katika hafla ya uzinduzi wa duka na
kituo cha huduma kwa wateja cha kampuni hiyo katika jengo la China Plaza
Kariakoo, Dar es Salaam leo.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Zantel Tanzania, Benoit Janin (katikati), akimsikiliza meneja
wa duka na kituo cha huduma kwa wateja cha kampuni hiyo katika jengo la China
Plaza, Yasmeen Ismail wakati mhudumu katika duka hilo Magdalena Mbayuwayu
(kulia), akihudumia wateja mara baada ya hafla ya uzinduzi rasmi wa duka na
kituo hicho, Kariakoo, Dar es Salaam leo.
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Absa Tanzania yashinda tuzo ya uandaaji bora wa taarifa za fedha
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Wizara ya Fedha, CPA. Benjamin Mashauri (wa pili kulia), akikabidhi tuzo ya mshindi wa kwanza wa Uwasilishaji Bora ...
No comments:
Post a Comment