Waajiri Bora wa ATE 2016 wapewa zawadi zao - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Tuesday, December 13, 2016

Waajiri Bora wa ATE 2016 wapewa zawadi zao


Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa (wa pili kushoto), akikabidhi kikombe kwa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Magese baada ya kampuni hiyo kuibuka  mshindi wa jumla wa Tuzo za Mwajiri   Bora wa mwaka 2016 zinazoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto  ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu,  Jenista Mhagama,  na Mwenyekiti wa ATE, Almas Maige.
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa (wa pili kushoto), akikabidhi kikombe kwa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Cocacola Kwanza Ltd, Sigifrid Faustine baada ya kampuni hiyo kuibuka  mshindi wa pili wa Tuzo za Mwajiri   Bora wa mwaka 2016 zinazoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto  ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu,  Jenista Mhagama na na Mwenyekiti wa ATE, Almas Maige

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa (wa pili kushoto), akikabidhi kikombe kwa Makamu wa Rais wa Kampuni ya Geita Goldmine, Simon Shayo  baada ya kampuni hiyo kuibuka  mshindi wa tatu wa Tuzo za Mwajiri   Bora wa mwaka 2016 zinazoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu,  Jenista Mhagama, na Mwenyekiti wa ATE, Almas Maige.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Dk. Aggrey Mlimuka (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya Tuzo za Mwajiri Bora za Mwaka 2016 jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu,  Jenista Mhagama, Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa ATE, Almas Maige.

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania yang'ara tuzo za Chaguo la Walaji

  Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Stanslaus Nyongo (wa tatu kushoto) akikabidhi tuzo ya Benki Bora kwa kutoa ...

Pages