Zantel yamwaga ofa kibao kwa wakazi wa Tanga - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Monday, December 5, 2016

Zantel yamwaga ofa kibao kwa wakazi wa Tanga

 Mkuu wa Mauzo wa Zantel Tanzania, Herbert Louis (kulia), akiwaonyesha baadhi ya wakazi wa mji wa Tanga kupitia simu ya mkononi jinsi mtandao wa kasi  wa 4G wa kampuni hiyo unavyofanya kazi pamoja na baadhi ya bidhaa, hudumana ofa maalumu  kwa ajili ya mji wa Tanga. Hafla hiyo ikiwa ni moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma na bidhaa zao karibu na wateja ilifanyika katika Viwanja vya Tangamano mjini humo hivi karibuni.

 Ofisa Masoko wa Zantel, Deus Mtena (kulia), akizungumza na baadhi ya wakazi wa mji wa Pongwe nje kidogo ya Jiji la Tanga jana kuhusu huduma, bidhaa na ofa maalumu kwa mji wa Tanga  ikiwa ni moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma na bidhaa zao karibu na wateja.

Ofisa Masoko  Masoko wa Zantel, Emmiliana Vokolavene (wa pili kulia), akizungumza na baadhi ya wakazi wa mji wa Pongwe nje kidogo ya Jiji la Tanga jana kuhusu huduma, bidhaa wazitoazo na ofa maalumju kwa ajili ya Tanga  ikiwa ni moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma na bidhaa zao karibu na wateja

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania yang'ara tuzo za Chaguo la Walaji

  Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Stanslaus Nyongo (wa tatu kushoto) akikabidhi tuzo ya Benki Bora kwa kutoa ...

Pages