wahitimu wa vyuo wanufaika na ReadytoWork ya Barclays Bank - THINKING IN BUSINESS

Mgongopr.blogspot.com is a business centered online platform highlighting trade, finance and economic news in Tanzania. Our coverage is customised to ensure we consolidate brands, boost sales and nurture investments. The site is an imprint of Mgongo Logistics and Solutions, a trusted consultancy firm, offering Social Media Management, Photography, Videography, Advertising, Event Management and Translation. For more information contact us via; Phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Monday, December 5, 2016

wahitimu wa vyuo wanufaika na ReadytoWork ya Barclays Bank

 Meneja Masoko wa Benki ya Barclays Tanzania, Joe Bendera (katikati), akihojiwa na wandishi wa habari katika  Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati wa mkutano ambapo benki hiyo iliitambulisha program yake ya ‘ReadtoWork’ yenye lengo la kuwaandaa wahitimu wa vyuo vikuu na elimu ya juu kujiandaa na ajira au kujiajiri.

 Meneja Masoko wa Benki ya Barclays Tanzania, Joe Bendera (kushoto), akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki katika mkutano ambapo benki hiyo iliitambulisha program yake ya ‘ReadtoWork’ yenye lengo la kuwaandaa wahitimu wa vyuo vikuu na elimu ya juu kujiandaa na ajira au kujiajiri.
 Meneja Masoko wa Benki ya Barclays Tanzania, Joe Bendera (kwa pili kulia), akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wakati akiitambulisha program ya ‘ReadtoWork’ ya benki hiyo yenye lengo la kuwaandaa wahitimu wa vyuo vikuu na elimu ya juu kujiandaa na ajira au kujiajiri. Wengine ni baadhi ya washikiri na wawezeshaji katika mkutano huo ambao pia kituo cha televisheni cha EATV kilikuwa kikitambulisha tuzo na wasanii wanaowania tuzo hizo zinazotambuliwa na Baraza la Sanaa la Taifa.

Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakihudhuria mkutano huo. (All photos by MPP LTD).

 

 

 

No comments:

Post a Comment

BENKI YA ABSA YAENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE WAJASIRIMALI KIUCHUMI

Meneja Bidhaa wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Bryton Kimemeta (kushoto), akizungumza na baadhi ya wanawake wajasiriamali, wanachama wa Taasis...

Pages