Meneja
Mawasiliano wa Barclays Tanzania, Hellen Siria, akihojiwa na waandishi kutoka
vyombo mbalimbali vya habari, wakati wa uzinduzi rasmi wa maabara ya kompyuta inayotembea itakayohudumia
shule nne za sekondari katika wilaya hiyo. Mradi wa kompyuta unawezeshwa kwa kushirikiana na asasi ya PEN
Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Shule ya Sekondari Kijitonyama, Dar es
Salaam
Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Barclays Tanzania, Aron Luhanga (wa tatu kulia), Meneja Teknolojia wa benki hiyo, Dakshit
Pandya (katikati mwenye miwani), na Mkurugenzi wa asasi ya PEN Tanzania,
Sharnel Deo (wa nne kulia), wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa maabara ya kompyuta inayotembea itakayohudumia
shule nne za sekondari katika wilaya hiyo. Mradi wa kompyuta unawezeshwa kwa kushirikiana na asasi ya PEN
Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Shule ya Sekondari Kijitonyama, Dar es
Salaam
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg1VI0grkIEs1Y91qFwLCvfs7519Cus0z1z-o8CXzncnJ5pYby67nYSOWwxSvFemwcjFXyJfdpeDUsisIBqwx2iqqQjg02t8njuRGUicMrVFj9mZQi-M-ynPAMyLxd-eSF8VupO2_cBj-M/s640/03.JPG)
Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Barclays Tanzania, Aron Luhanga (wa pili
kulia) akikabidhi pedi za kike kwa baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari za
Wilaya ya Kinondoni mara baada ya uzinduzi wa maabara ya kompyuta inayotembea
itakayohudumia shule nne za sekondari katika wilaya hiyo. Mradi wa
kompyuta unawezeshwa kwa kushirikiana na
asasi ya PEN Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Shule ya Sekondari
Kijitonyama, Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Teknolojia wa benki hiyo, Dakshit
Pandya
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3iDCWCKOYM_C8LpANS9smHH8uGKVuMUbFpFmHnwrxWhUW95N8ezTetFRgzbfnnZEYeXmLY7lvteKJmjkCKxd0V1xxJY1T0ZAHrQD8JC6A4cwz6fx2F0Gbz7qMsuRWQZG3fh07a2tI_8Y/s640/04.JPG)
Mtaalamu
wa Mifumo ya Kompyuta wa Benki ya
Barclays, Goodhope Mongi (wa tatu kulia) akikabidhi pedi za kike kwa baadhi ya
wanafunzi wa shule za sekondari za Wilaya ya Kinondoni mara baada ya uzinduzi
wa maabara ya kompyuta inayotembea itakayohudumia shule nne za sekondari katika
wilaya hiyo. Mradi wa kompyuta
unawezeshwa kwa kushirikiana na asasi ya PEN Tanzania. Hafla hiyo
ilifanyika katika Shule ya Sekondari Kijitonyama, Dar es Salaam. Kulia ni
Meneja Teknolojia wa benki hiyo, Dakshit Pandya na Mkuu wa Masoko na
Mawasiliano wa benki hiyo, Aron Luhanga
Mkuu
wa Kitengo cha Mifumo ya Teknolojia wa
Benki ya Barclays, Gustasv Mphosu (wa
pili kulia) akikabidhi pedi za kike kwa baadhi ya wanafunzi wa shule za
sekondari za Wilaya ya Kinondoni mara baada ya uzinduzi wa maabara ya kompyuta
inayotembea itakayohudumia shule nne za sekondari katika wilaya hiyo. Mradi wa
kompyuta unawezeshwa kwa kushirikiana na
asasi ya PEN Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Shule ya Sekondari
Kijitonyama, Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki
hiyo, Aron Luhanga.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj8HRcgHx-PsKkkB7veFoR24j44EpyuHcM8ndyrGYZhgrZEuCUOk1-DRd-tcwt0hn5Ubm2b6A_T-Jg0VSVIm2B39H5qatnVz4h_19c4fozBXJUpYE2EZjIzbcQdw3Lm1ieh6l0xTP4PcZs/s640/06.JPG)
Ofisa
Masoko wa Benki ya Barclays, Nasikiwa Berya (wa tano kushoto), akitoa maelekezo
kwa baadhi ya wanafunzi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa maabara ya kompyuta inayotembea itakayohudumia
shule nne za sekondari katika wilaya ya Kinondoni. Mradi wa kompyuta unawezeshwa kwa kushirikiana na asasi ya PEN
Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Shule ya Sekondari Kijitonyama, Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Mawasiliano wa PEN
Tanzania, Nancy Kataraihya, Meneja Mawasliano wa Barclays, Hellen Siria na Meneja Teknolojia wa benki hiyo, Dakshit
Pandya
Wawakilishi
kutoka Benki ya Barclays, asasi ya PEN Tanzania na baadhi ya wahudhuriaji
wengine wakipozi kwa picha ya kumbukumbu mara baada ya hafla hiyo. (All Photos by MPP LTD)
No comments:
Post a Comment