Friday, November 18, 2016

Home
Unlabelled
Zantel yanogesha Full Moon Party visiwani Zenji
Zantel yanogesha Full Moon Party visiwani Zenji
Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Bagamoyo African Culture wakionyesha uhamiri
wao wakati wa sherehe ya Kendwa Rocks Full Moon iliyofanyika mjini Zanzibar
hivi karibunii. Full Moon Party hudhaminiwa na Zantel na hujumuisha watanzania
na watalii kutoka nchi mbali mbali duniani.
Wasanii wa kikundi cha
sanaa cha Bagamoyo African Culture wakitumbuiza
wakati wa sherehe ya Kendwa Rocks Full Moon iliyofanyika mjini Zanzibar hivi
karibunii. Full Moon Party hudhaminiwa na Zantel na hujumuisha watanzania na
watalii kutoka nchi mbali mbali duniani.
Wasanii wa Karafuu
Band wakitoa burudani wakati wa sherehe ya Kendwa Rocks Full Moon iliyofanyika
mjini Zanzibar hivi karibunii. Full Moon Party hudhaminiwa na Zantel na
hujumuisha watanzania na watalii kutoka nchi mbali mbali duniani.
Maofisa mauzo wa
Zantel Tanzania wakijiandaa kutoa huduma katika sherehe ya Kendwa Rocks Full
Moon inayofanyika kila mwezi wakati wa mbalamwezi kamili mjini Zanzibar.
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Airtel, UNICEF wakabidhi Vifaa vya Intaneti ya kasi kwa Shule 30 za Sekondari Dodoma
Mwakilishi wa Afisa Elimu Sekondari Mkoa wa Dodoma, Bi. Grace Samweli, (Kulia) akipokea moja ya vifaa vya intaneti kutoka kwa Meneja wa Kand...

No comments:
Post a Comment