Thursday, November 3, 2016
![](https://1.bp.blogspot.com/-7Kd9qaiRHuA/WaEtZyc70TI/AAAAAAAADsA/7WUYBVoY-UwwjdEP3kDFPvH9htN0dDKgQCLcBGAs/s1600/demo-image.jpg)
Home
Unlabelled
ZANTEL YAZIDI KUSOGEZA HUDUMA KARIBU NA WATEJA WAKE
ZANTEL YAZIDI KUSOGEZA HUDUMA KARIBU NA WATEJA WAKE
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Benoit
Janin (kushoto), akisalimiana na mkazi
wa Bugururuni, Awadh Selemani, Dar es
Salaam jana, katika moja ya kampeni za masoko katika kufikisha huduma na bidhaa
zao karibu kwa wateja. Zantel imemaliza hivi karibuni ukarabati mkubwa wa
mtandao wake wa 3G na 4G wenye lengo la kuboresha ubora wa huduma za intaneti
na sauti hivyo kupatikana kwa zaidi za
asimilia 85 ya Tanzania.
Mkuu
wa Mauzo wa Zantel, Herbert Louis (kushoto) na baadhi ya wafanyakazi wa timu ya
mauzo, wakizungumza na baadhi ya wakazi wa
Bugururu, Dar es Salaam, katika
moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma na bidhaa zao karibu kwa wateja.
Zantel imemaliza hivi karibuni ukarabati mkubwa wa mtandao wake wa 3G na 4G
wenye lengo la kuboresha ubora wa huduma za intaneti na sauti hivyo kupatikana
zaidi za asimilia 85 ya Tanzania.
Mkuu
wa Masoko wa Zantel, Gasper Mbowa (katikati) na Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa
kampuni hiyo, Zadok Prescott (kulia), wakiwafahamisha wafanyabiashara wa soko
la Kariakoo, Dar es Salaam, Yassin Hassani (kushoto) na Abdallah Issa, baadhi
ya huduma za kampuni hiyo katika moja ya
kampeni za masoko kufikisha huduma zao
karibu na wateja. Zantel imemaliza hivi karibuni ukarabati mkubwa wa mtandao
wake wa 3G na 4G wenye lengo la kuboresha ubora wa huduma za intaneti na sauti
hivyo kupatikana zaidi za asimilia 85 ya Tanzania.
Mkuu wa Mauzo wa Zantel, Herbert Louis
(kushoto) akizungumza na baadhi ya wapiti njia katika mtaa wa Kongo, Dar es Salaam jana, katika moja ya kampeni za
masoko kufikisha huduma na bidhaa zao karibu kwa wateja. Zantel imemaliza hivi
karibuni ukarabati mkubwa wa mtandao wake wa 3G na 4G wenye lengo la kuboresha
ubora wa huduma za intaneti na sauti hivyo kupatikana zaidi za asimilia 85 ya
Tanzania.
Maofisa
wa Zantel wakizungumza na wachuuzi wa matunda karibu ya soko la buguruni, Dar
es Salaam, katika moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma na bidhaa zao
karibu kwa wateja. Zantel imemaliza hivi karibuni ukarabati mkubwa wa mtandao
wake wa 3G na 4G wenye lengo la kuboresha ubora wa huduma za intaneti na sauti
hivyo kupatikana zaidi za asimilia 85 ya Tanzania. Kutoka kushoto ni, Mkuu wa Masoko, Gasper
Mboya, Ofisa Mtendaji Mkuu, Benoit Janin na Mkuu wa Mauzo, Herbert Louis.
Maofisa
wa ngazi ya juu wa Zantel wakibadilishana
mawazo karibu na soko la Buguruni, Dar es Salaam walipokwenda pamoja na timu ya
mauzo kuzungumza na wateja na wakazi wa maeneo hayo kuhusu huduma za Zantel na
jjnsi ilivyojipanga upya kuwaletea huduma bora. Kutoka kushoto; Ofisa Mtendaji
Mkuu, Benoit Janin, Kaimu CEO, Zadok Prescott,
Mkuu wa Masoko, Gasper Mboya na Mkuu wa Mauzo, Herbert Louis. (Picha na MPP LTD)
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Minister officially launches real estate giant Coldwell Banker Tanzania and Zanzibar
Zanzibar Minister for Labour, Economy, and Investment, Shariff Ali Shariff addresses guests during the launch of Coldwell Banker Tanzania an...
No comments:
Post a Comment