Miji yote Tanzania kupata mtandao wa 4G wa kampuni ya Zantel - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Sunday, October 30, 2016

Miji yote Tanzania kupata mtandao wa 4G wa kampuni ya Zantel

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Benoit Janin  (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma ya mtandao wa  4G ambapo sasa miji yote nchini itafikiwa na huduma hiyo.  Kushoto ni Meneja Uendeshaji Mtandao, Ahmed Hassan Abdallah na Meneja Mauzo, Herbet Louis.
 Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Hebert  Louis (kulia), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma ya mtandao wa  4G ambapo sasa miji yote nchini itafikiwa na huduma hiyo.  Kushoto ni Meneja Uendeshaji Mtandao, Ahmed Hassan Abdallah na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Benoit Janin
  Meneja Uendeshaji Mtandao wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Ahmed Hassan Abdallah (wa pili kushoto),  akiwaonyesha waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam, jinsi ya kurekebisha simu na kuwa katika mpangilio wa automatiki  wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma ya mtandao wa  4G ambapo sasa miji yote nchini itafikiwa na huduma hiyo.  Kushoto kwake ni  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Benoit Janin na Meneja Mauzo, Herbet Louis.

Baadhi ya waandishi  kutoka vyombo mbalimbali vya habari walihudhuria uzinduzi huo. (All photos by MPP LTD).

No comments:

Post a Comment

Minister officially launches real estate giant Coldwell Banker Tanzania and Zanzibar

Zanzibar Minister for Labour, Economy, and Investment, Shariff Ali Shariff addresses guests during the launch of Coldwell Banker Tanzania an...

Pages