Monday, August 14, 2017

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali leo Mkoani
Tabora kabla ya kuondoka kwaajili ya kurejea Dodoma baada ya kumaliza ziara
yake mkoani humo.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Kassim Majaliwa akiagana na Mbunge wa Manonga Seif Khamis Gulamali
katika Viwanja vya Ndege vya Tabora tayari kwa safari ya kurudi Mkoani Dodoma
kikazi. (Picha na Raymond Urio)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Airtel Money na TCDC Waingia Ubia Kuboresha Sekta ya Kilimo Kidijitali
Mkurugenzi wa Airtel Money, Bw. Andrew Rugamba (wa pili kushoto), akisaini makubaliano (MoU) na Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maende...

No comments:
Post a Comment