Tanga Cement yasaidia ukarabati wa sekondari ya Mpwapwa - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Sunday, September 3, 2017

Tanga Cement yasaidia ukarabati wa sekondari ya Mpwapwa

Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Samwel Shoo (wa nne kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 500 ya saruji yenye thamani ya zaidi ya sh milioni sita kwa Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mpwapwa, Omari Twakali (wa tatu kushoto) iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ukarabati wa shule hiyo ambayo ni moja ya shule kongwe za sekondari nchini. Hafla ya makabIdhiano ilifanyika katika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga juzi mwa wiki. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa TCPLC.
Meneja Machimbo wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Godwin Kamando akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 500 ya saruji kwa Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mpwapwa, Omari Twakali (wa tatu kushoto) ilyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ukarabati wa shule hiyo ambayo ni moja ya shule kongwe za sekondari nchini katika. Hafla ya makabidhiano yalifanyika katika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga juzi.

No comments:

Post a Comment

  International forum poised to open up AFRICA - ASIAN economies to the world   By Peter Mgongo Dar es Salaam, Tanzania 29th April, 2024...

Pages