Thursday, October 12, 2017
Home
BUSINESS
Tanga Cement yaunga mkono serikali ujenzi wa nyumba za polisi zilizoungua mkoani Arusha
Tanga Cement yaunga mkono serikali ujenzi wa nyumba za polisi zilizoungua mkoani Arusha
Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Samuel Shoo, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000 kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP) wa Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo (kushoto), iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto hivi karibuni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa kampuni ya Saruji na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.
Mkuu wa Idara ya Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Peet Brits, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000 kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP) wa Mko wa Arusha Charles Mkumbo (wa pili kushoto), iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto hivi karibuni mkoani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.
Mkuu Mauzo Kitaifa wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Leslie Masawe, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000 kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP) wa Mko wa Arusha, Charles Mkumbo, iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto tarehe 27septemba Mkoani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.
Meneja Masoko Mkoa wa Arusha wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Christopher Mgonja, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000 kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP) wa Mko wa Arusha Charles Mkumbo (kushoto), iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto tarehe 27septemba Mkoani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.
Ofisa Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Hellen Maleko wa pili (kulia) akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000 kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP) wa Mko wa Arusha Charles Mkumbo, iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto tarehe 27septemba Mkoani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...
No comments:
Post a Comment