Vijana wachangamkia fursa kupitia Program ya Wajibika ya Benki ya NBC - Serious Business

Mgongopr.blogspot.com is a serious online platform of business and finance news from around Tanzania. We are a trusted site covering the entire spectrum, from small enterprises to large businesses entities. For photography, videography, media management, events management, advertising, public relations, translation, interpreters, and more services, please contact us: MPP Ltd phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Thursday, December 21, 2017

Vijana wachangamkia fursa kupitia Program ya Wajibika ya Benki ya NBC

Mmoja ya waratibu wa programu ya  Wajibika ya Benki ya NBC, Michael Mwangoka (kushoto), akizungumza na baadhi ya vijana na wanafunzi katika viwanja Leaders, Dar es Salaam juzi kuhusu  Programu ya Wajibika yenye lengo la kuwaandaa vijana na wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.

Mmoja ya  waratibu wa programu ya  Wajibika ya Benki ya NBC, Debora Maboya (kulia), akizungumza na baadhi ya vijana katika viwanja Escape One, jijini Dar es Salaam kuhusu  Programu ya Wajibika yenye lengo la kuwaandaa vijana na wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.

Mmoja ya waratibu wa programu ya  Wajibika ya Benki ya NBC, Michael Mwangoka (kulia), akizungumza na baadhi ya vijana katika viwanja Leaders, Dar es Salaam kuhusu  Programu ya Wajibika. Program ya Wajibika ya NBC yenye lengo la kuwawezesha vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi ilizinduliwa Julai 8 mwaka jana.
Mmoja ya waratibu wa programu ya  Wajibika ya Benki ya NBC, Imani Sinkonde (kushoto), akitoa maelezo jinsi ya kujiunga kwa njia ya mtandao na program ya Wajibika ya Benki ya NBC kupitia tovuti ya benki hiyo kwa baadhi ya vijana katika viwanja vya Escape One, Dar es Salaam. Programu ya Wajibika ina lengo la kuwaandaa vijana na wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.

No comments:

Post a Comment

Benki ya Absa Tanzania kuendelea kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (wa pili kushoto), Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian ...

Pages