Zawadi Kem Kem zatolewa katika Promosheni ya Jero Yako ya Zantel - THINKING IN BUSINESS

Mgongopr.blogspot.com is a business centered online platform highlighting trade, finance and economic news in Tanzania. Our coverage is customised to ensure we consolidate brands, boost sales and nurture investments. The site is an imprint of Mgongo Logistics and Solutions, a trusted consultancy firm, offering Social Media Management, Photography, Videography, Advertising, Event Management and Translation. For more information contact us via; Phone: +255 767765454, email: mgongo@gmail.com

Breaking

Tuesday, January 30, 2018

Zawadi Kem Kem zatolewa katika Promosheni ya Jero Yako ya Zantel

Meneja Masoko wa Zantel, Bi.  Rukia Mtingwa (kulia) akikabidhi zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel kwa Bwana Moiz Johar Hussein Hassanali  mmoja wa washindi wa wiki wa promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam ambayo mteja wa Zantel  akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki. Zawadi za pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu hutolewa kila wiki.
Meneja Masoko wa Zantel, Bi. Rukia Mtingwa akizungumza katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mshindi huyo Bwana Moiz Johar Hussein Hassanali.
Meneja Masoko wa Zantel, Bi. Rukia Mtingwa (kulia) akipiga simu kwa  kwa simu na mmoja wa washindi wa promosheni ya Jero yako ya Zantel huku mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kuabahatisha Jehud Ngolo (kushoto) akisikiliza pamoja na mfanyakazi mwingine wa Zantel katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Zantel mjini Zanzibar, Mohammed Mussa Baucha (kulia), akikabidhi zawadi ya simu kwa Taimur Mohamed Hussein  mmoja wa washindi wa promosheni ya Jero yako, kisiwani humo juzi. 

No comments:

Post a Comment

APeF Yazindua Mfuko wa Ziada Kupanua wigo wa uwekaji Akiba, Uwekezaji na Ulinzi

  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, (CMSA), CPA Nicodemus Mkama, akikabidhi waraka wa ofa kwa Kaimu Mwenyekiti ...

Pages